Taswira Maalum Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu: Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha Rose Migiro Ala Kiapo Rasmi Bungeni Mjini Dodoma

Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha Rose Migiro akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Desemba 12, 2013

Mbune
wa Kuteuliwa , Dr. Asha Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa wa Bunge
na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili
kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12,
2013.

2013.Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment