TASAF YATOA ELIMU KWA WANAHABARI JUU YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI
Baadhi ya waandishi wa habari na wahariri kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) , wa tatu kutoka kushoto waliokaa ni Mkurugenzi Mtendaji wa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Ladislaus Mwamwanga mara baada ya kufunguliwa kwa warsha ya siku mbili leo ya kujenga uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo.Posted By Blogger to THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG
|
Picha na Magreth Kinabo
No comments:
Post a Comment