Soma Kwa Makini taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na mazingira kuhusu tathmini ya matatizo yaliyotokana na oparesheni tokomeza iliyosomwa jana bungeni mjini dodoma Chini ya Mwenyekiti wa Kamati James Lembeli na Kupelekea mawaziri wanne Kujiuzulu

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli akiwasilisha taarifa kuhusu tathmini ya matatizo yaliyotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili, bungeni Dodoma jana. Picha na Emmanuel Herman.
No comments:
Post a Comment