Header Ads

Rais Jakaya Kikwete Rais Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya Watanzania katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika na kuwataka watanzania kuacha tabia ya kuwa na roho ya kulipiza visasi badala yake wawe watu wa kusamehe na kusahau kwani kwa kufanya hivyo watakuwa wanamuenzi moja kwa moja Rais mstaafu wa Afrika Kusini Marehemu Nelson Mandela.


No comments:

Powered by Blogger.