Home
Unlabelled
PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA
PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA
Nchi ya Kenya imeadhimisha miaka 50 tokea ipate uhuru wake kutoka kwa wakoloni mnamo Desemba, 12 mwaka 1964, hivyo basi kila ifikapo Desemba 12 nchi ya Kenya husherehekea, kwa mwaka huu maadhimisho hayo yalifanyika kwenye uwanja wa Kasarani uliopo katika jiji la Nairobi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Afrika wakiongozwa na mwenyeji wao Rais Uhuru Kenyatta.., Tazama picha zote hapa

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete alikuwepo kwenye maadhimisho hayo.


Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akikagua gwaride.


Rais wa Jamhuri ya Sahreew, Mohamed Abdelaziz

Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda.
PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA
Reviewed by crispaseve
on
12:12 PM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment