Header Ads

MATOKEO YA NANI MTANI JEMBE? ; SIMBA SC 3 – 1 YANGA (FULL TIME).

2037137_orig

Mpira umekwisha kwa klabu ya Simba SC kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3 kwa Moja dhidi ya mtani wake Yanga ambao waliambulia Goli 1.
Mshambuliaji machachari wa Simba, Hamis Tambwe aliweza kuitia wavuni jumla ya  mabao mawili na Jamir Awadhi akikamilisha idadi ya magoli matatu kwa kufunga goli moja huku mchezaji mpya wa Yanga, Emmanuel Okwi akifunga goli la kufutia machozi kwa klabu yake ya Yanga..

No comments:

Powered by Blogger.