MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA DHIFA YA SHEREHE ZA UHURU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimia na mmoja wa mabalozi waliofika kwenye dhifa hiyo. |
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Balozi wa Zambia mama Judith Kangoma. |
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na Mbunge wa Busega Dk. Titus Kamani. |
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Canada nchini Alexandre Leveque |
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick. |
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Musa Salim akibadilishana mawazo na Mbunge wa Busega Dk. Titus Kamani. |
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na mmoja wa wageni waalikwa kwenye dhifa. |
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza |
|
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Uratibu wa Vyombo vya Habari cha Idara ya Habari (MAELEZO), Jamali Zuber akiwa na wenzake wakiangalia ngoma za asili. |
No comments:
Post a Comment