Header Ads

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara Azindua Rasmi Bodi mpya ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akihutubia wageni waalikwa hawapo pichani wakati wa hafla ya kuzindua Bodi mpya ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wa pili kushoto akipokea zawadi ya picha za Tingatinga kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa Prof. Penina Mlama wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Basata.Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Prof. Hermans Mwansoko na wa mwisho kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Basata Bwana Godfrey Mngereza.
Mzee Jangala mwenye Kibaraghashee akifuatilia hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Basata jana jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa BASATA alipo kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya BASATA jana jijini Dar es Salaam.Picha Zote na Frank Shija

No comments:

Powered by Blogger.