Tawira Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa kwenye jengo la Temple Trees jijijini Colombo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda
Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees
jijijini Colombo jana Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano
wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013).Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment