Rais Jakaya Kikwete Ahitimisha Ziara Yake Nchini Poland,Arejea Nyumbani LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nchi katika
Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Fereji wakati
akiondoka hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013
tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya
kikazi nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa
Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nchi
katika Makamu wa Rais Dkt Tereiya Huvisa wakati akiondoka hoteli ya
Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini
Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya
Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu
katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe Sazi Salula wakati akiondoka
hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa
safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi
nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa
Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono Mwandishi wa Uhuru
na Mzalendo Bw. Ramadhani Mkoma wakati akaiaga na kuondoka hoteli ya
Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini
Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya
Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika. Kushoto ni mwandishi
wa ITV Bw. Emmanuel Buhohela, akifuatiwa na Naibu Mkurugenzi wa
Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi na Msaidizi
wa Waziri Huvisa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Nchi katika
Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Terezya Huvisa na Waziri wa Nchi katika
Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Fereji wakati
akiondoka hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013
tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya
kikazi nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa
Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika.Picha Zote na IKULU
No comments:
Post a Comment