PICHA ZA MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA MATUKIO YOTE KUANZIA AIRPORT HADI SINGIDA
Na Swahili TV
Kwa
niaba ya Familia, Kamati ya Mazishi Marekani na Tanzania na ndugu na
jamaa wote kwa ujumla tumeona ni vyema nanyi mkaona matukio yote kwani
mlishiriki katika msiba huu. Kwa mara nyingine tena tunatoa shukrani
zetu za dhati kwa wote mliofanikisha Shughuli zote Usafiri, Maandalizi
mbalimnbali na hatimaye kuuhifadhi mwili wa mpendwa wetu, dada yetu,
rafiki na kipenzi chetu Bi. Martha Shani.Mazishi yalifanyika Puma
Sindiga siku ya Alhamisi ya Octoba 31, 2013. Video ya matukio yote
tutaiweka soon hapa hapa Swahili TV Blog.
PICHA ZA MATUKIO YOTE
Alex akipewa pole na Shangazi wa Martha
Kushoto;
Vincent Mughwai, Joseph, Alex akimshikia mtoto Chris beleshi akiweka
udongo katika kaburi la Mama yake, huku Mchungaji Peter Ihema wa Kanisa
la Pentekoste Puma akitazama . Mazishi yalifanyika Alhamis Oktoba 31,
2013 Puma-Singida.
Alex, Joseph, DMK, Muddy wakiwafuatilia shughuli za Mazishi Alhamis Oktoba 31, 2013 Puma-Singida.
AU INGIA
No comments:
Post a Comment