Mbunge wa Bumbuli-CCM na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh Januari Makamba Muda Mfupi Baada Ya Kamati Kuu ya Chadema Kumvua Nyadhifa Za Chama Mbunge wa Kigoma Kaskazini-Chadema Zitto Kabwe
Mbunge wa Bumbuli -CCM na Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh Januari
Makamba
*Chini ni Tweet ya Mheshimiwa January Makamba Muda Mfupi baada ya Kamati Kuu ya Chadema Kumvua Nyadhifa Zitto Kabwe
----
Yakiwa
masaa kadha yamepita Toka Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo Kumvua Nyazifa zake zote Mbunge wa Kigoma Kaskazini na
kumpasiku kumi na nne ajieleze Sababu zitakazomfanya asifutwe kabsa
Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo baada ya kukiuka
Utaratibu wa Chama.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh Januari
Makamba
amefunguka na kumkaribisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kambwe
kujiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM),January Makamba
amefunguka katika Mtandao wake wa kijamii na kusema kuwa kama
Viongozi wa Chadema Hawatambui na kuona dhamani ya Kiongozi hiyo
hivyo akaribie CCM.
“Kama
wenzako hawathamini kazi kubwa uliyofanya kukijenga Chama chenu na
kazi unayofanya Bungeni, karibu CCM tuijenge nchi.”
No comments:
Post a Comment