MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA DKT.SENGONDO MVUNGI JIJINI DAR LEO
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa
Jeneza likipelekwa sehemu iliyoandaliwa
Mashada ya maua na picha ya marehemu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambi rambi za serikali wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu
wa Rais Dkt Gahlib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Rais Mstaafu
Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha
Katiba Jaji Joseph Warioba, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angela
Kairuki na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia wakiwa katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Misa wakati wa shughuli hiyo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment