HUYU NA YULE: Mjadala kuhusu MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE.
Katika kipengele cha HUYU NA YULE, wiki hii tuliungana na VIJANA WATATU
Liberatus Mwang'ombe, Peter Walden na Ally Badawy kujadili MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE.
Ali
Badawi (kushoto), Peter Walden (kati(na Liberatus Mwang'ombe (kulia)
wakiendelea na mjadala ndani ya studio za Jamii Production Ulikuwa ni
mjadala mrefu na huru ambao ulikuwa na mengi ya kufunzana
Karibu uungane nasi
Wakati
tukimalizia mjadala kuhusu MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE,
Peter Walden alimuuliza Liberatus Mwang'ombe swali kuhusu kufunguliwa
kwa matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi.
Liberatus ni Katibu Mkuu wa Tawi la Chadema hapa Washington DC
Hapo pakawa na ka-mjadala kadoooogo ambako hata Ally Badawy na mwongozaji wa kipindi Mubelwa Bandio wakachangia.
Karibu usikilize
Kwa maoni, ushauri, nk usisite kutuandikia jamiiproduction@gmail.com
No comments:
Post a Comment