Serikali Mbioni kuanzisha tume ya teknolojia ya habari na mawasiliano.
Afisa Habari Mwandamizi toka Wizara ya
Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi(kushoto) akieleza kwa
waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu Uanzishwaji wa Tume ya Teknolojia ya
Habari na Mawasiliano, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya
Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar Es salaam.Kulia ni Afisa Habari Idara 6ya
Habari(MAELEZO) Hassan Silayo. Picha na Eliphace
Marwa-MAELEZO.
======== ======= ========
No comments:
Post a Comment