Header Ads

Uingereza yapunguza muda wa kupata viza.

Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini, imetangaza huduma mpya ya haraka ya utoaji viza inayoitwa ‘huduma ya upendeleo ya utoaji visa kwa haraka’  ili kuwawezesha Watanzania  kupata viza hizo ndani ya siku tano.  Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose, alisema huduma hiyo inalenga kuwasaidia waombaji wa visa kwa ajili ya shughuli za kibiashara, masomo kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma nchini humo na zile za kusafiria, ili wapate haraka tofauti na nyuma kwani ilikuwa inatumia muda mrefu. 

No comments:

Powered by Blogger.