Header Ads

Jaji Mutungi aiumbua CCM

  • Aionya kuacha kutumia mabalozi shughuli za kisiasa
  • Asema mchakato wa sheria kuvibana vyama unaanza 
HATIMAYE Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi ameanza kuonyesha makali, baada ya kukipa onyo kali Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukitaka kuacha mara moja kutumia viongozi wa kidiplomasia kwenye shughuli za kisiasa. Hatua ya Jaji Mutungi, imekuja siku chache baada ya CCM kumtumia Balozi wa China, Dk. Lu Youping katika shughuli za kisiasa mkoani Shinyanga wiki iliyopita.

No comments:

Powered by Blogger.