Mganga
Mkuu wa Serikali Dk. Donan Mmbando akielezea hali ya huduma za chanjo
nchini katika hafla fupi ya kukabidhi gari aina ya ‘Toyota double
Cabin’ kwa ajili ya huduma ya chanjo kwa Halmashauri ya Wilaya ya
Busokelo lenye thamani ya Sh. milioni 38 iliyofanyika kwenye ukumbi wa
mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii jijini Dares Salaam leo.
Mwenyekiti
wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga(aliyesimama) akiishukuru Wizara
ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa msaada wa gari hilo. Kushoto ni Mkuu wa
Wilaya ya Rungwe,Crispin Meelana kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya
Rungwe Dk. Gilibert Tarimo
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo
akizungumzia na waandishi wa habari leo katika hafla fupi ya kukabidhi
gari aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili ya huduma ya chanjo kwa
Halimashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye thamani ya Sh. milioni 38
jijini Dares Salaam leo.Kulia ni Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Kazi
maalumu), Profesa Mark Mwandosya
Mwenyekiti
wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga akijaribu kuendesha gari
walilopewa na Wizara ya Afya naUstawi wa Jamii leo jijini Dares Salaam.
Mwenyekiti
wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga(aliyesimama) akiishukuru Wizara
ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa msaada wa gari hilo. Kushoto ni Mkuu wa
Wilaya ya Rungwe,Crispin Meelana kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya
Rungwe Dk. Gilibert Tarimo
Waziri
wa nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu), Profesa Mark Mwandosya wa pili
(kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watu wakati
hafla fupi ya kukabidhi gari aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili
ya huduma ya chanjo kwa Halimashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye
thamani ya Sh. milioni 38 jijini Dares Salaam leo.Picha zote na Magreth Kinabo –MAELEZO
No comments:
Post a Comment