Header Ads

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKUTANA NA GENERAL SHARIF.

Kamanda mpya wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Genaral Sharif Sheikh Othman akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika kujitambulisha rasmi tokea ateuliwe kushika wadhifa huo.

Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kamanda Mpya wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia General Sharif Sheikh Othman ambae amefika kujitambulisha rasmi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

No comments:

Powered by Blogger.