WAKUU WA WILAYA, WAKUU WA MIKOA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto akitoa mada ya
utekelezaji wa shughuli za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kikao
kazi cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akichangia jambo katika kikao hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya akichangia mada katika kikao kazi hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia akitoa mchango wake.
Washiriki wa kikao kazi hicho wakifuatilia mada ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
No comments:
Post a Comment