Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Steve Gannon akinyanyua juu bia mpya
ya Tusker Lite wakati wa uzinduzi wake rasmi uliofanyika mbele ya maafisa masoko
wa makampuni mbalimbali nchini wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’
jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Mpigapicha
wetu).
|
No comments:
Post a Comment