MTEJA KUHAMA NA NAMBA ZA KWENDA MTANDAO MWINGINE
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TICRA), Profesa John
Nkoma akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam
leo, kuhusu maandalizi ya mkutano wa 5 wa wadau wa mawasiliano Afrika wa
utekelezaji na usimamizi wa mtumiaji wa simu kumwezesha kuhama na namba
yake ya simu kwenda nayo mtandao mwingine. (PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TICRA), Profesa
John Nkoma akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es
Salaam leo, kuhusu maandalizi ya mkutano wa 5 wa wadau wa mawasiliano
Afrika wa utekelezaji na usimamizi wa mtumiaji wa simu kumwezesha kuhama
na namba yake ya simu kwenda nayo mtandao mwingine.
Baadhi ya maofisa wa mamlaka hiyo wakiwa katika mkutano huo
Profesa Nkoma akifafanua jambo mbele ya wanahabari
Profesa Nkoma akifafanua jambo mbele ya wanahabari
No comments:
Post a Comment