MKUTANO WA WAKUU WA MIKOA MJINI DODOMA
Mkuu
wa mkoa wa Katavi, Dr.Rajabu Rutengwe akichangia katika mkutano maalum
wa Wakuu wa Mikoa , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwenye
ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma, Novemba 16, 2012.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment