MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA KOREA, NCHINI TANZANIA KWA MAZUNGUMZO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung,
wakati alipofika ofisini kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Korea nchini Tanzania, IL Chung,
mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu, Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo
No comments:
Post a Comment