LIONE GARI LA SHARO LILIVYOHARIBIKA, King Majuto presha imepanda baada ya taarifa za kifo.
Hivi ndivyo gari alilokuwa akiendesha Sharo Millionea, lilivyokuwa baada
ya ajali hiyo iliyotokea jana usiku majira ya saa mbili.
|
Mjomba wa marehemu Sharo Millionea,
Bwana Omary Fundikira asema marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho,
Jumatano. Hii ni kutokana na msanii mwenzake John Maganga kuzikwa leo.
Pia rafiki wa marehemu bwana Mohamed Ismail ambaye ndiye aliyemuazimisha gari alilopata nalo ajali, asema ilitakiwa waongozane kwenda Tanga pamoja ila alishindwa maana alipata majukumu mengine.
No comments:
Post a Comment