CRDB LADHAMINI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANAFUNZI
Wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya Afrika Mashariki, Kati na Nigeria wanakutana Machui, mkoa wa Kusini Unguja kwenye Kongamano la kimataifa la siku 5 Kongamano hilo limefadhiliwa na Benki ya Posta Tanzania na Benki ya CRDB kupitia umoja wao wa AIESEC wenye makao makuu yake mjini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment