WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE MJINI MOROGORO
Waziri
mkuu, Mizengo Pinda akikagua mkungu wa ndizi katika maonyesho ya
wakulima Nanenane Mjini Morogoro Agosti Mosi 2012. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mzinga wa asili wa nyuki wadogo wakati
alipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya Wakulima Nanenane
Mjini Morogo Agosti Mosi, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment