
Mwanasheria
wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi
(kulia) akizungumza na wateja wake. Dar es salaam Katika moja ya
mikutano na wakazi hawo kuhusu
maendeleo ya kesi yao iliyo mahakama kuu ya Tanzania na kwa mujibu wa
kesi namba 44 ya mwaka 2012 taarifa zilizochapishwa na mtendaji mkuu wa
wakala wa usafiri wa haraka 'DART' kwa wahanga wakapokee fidia zao
linakiuka amri ya Mahakama Kuu,iliyotajwa tarehe 28,6,2012 hivyo
mnashauliwa kuto tii agizo hilo pia waanga wa bomoa bomoa wanalifiwa
kuhudhuria kikao cha pamoja na wakili ni tarhe 11,8,2012 katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao Imetolewa na DR,Sengondo Mvungi |
No comments:
Post a Comment