| Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,
Profesa, Idris Kikula baada ya kuzindua kitabu kiitwacho Lighting fire
kilichoandikwa na wanasayansi 31 mabingwa wa kitanzania, kwenye ukumbi
wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Kijitonyama jijini Dar es
salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha
Tanzania, Profesa Tolly Mbwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment