Mwanafunzi Akipakizwa Katika Gari la Polisi Baada Kuvunjwa Maandamano ya Kuelekea Kwa Mkuu wa Wilaya Kindononi

Mwanafunzi
akipakizwa katika gari la Polisi baada kuvunjwa maandamano ya
kuelekea kwa Mkuu wa Wilaya Kindononi kwa Wanafunzi kutoka shule za
Msingi za Mtongani,Kunduchi,Mtakuja na Wazo kushinikiza walimu warudi
kazini baada ya kusambaratishwa na Polisi katika eneo la Kunduchi
jijini Dar es Salaam.Picha na Fidelis Felix
No comments:
Post a Comment