Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Halihalisi Saed Kubenea Aitaka Serikali Kufuta Tamko Lake La Kulifungia Gazeti Hilo

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali
halisi , inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea,
akionyesha baadhi ya Magazeti yaliyolalamikiwa na Serikali.

Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayo chapisha Gazeti la Mwana
Halisi Bw, Saed Kubenea, akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za
Kampuni hiyo juu ya malalamiko yake kwa serikali kutokana na kufungiwa
kwa gazeti lake la Mwana halisi jana ambapo alilaani vikali uamuzi huo
uliochukuliwa na serikali na hivyo kuitaka serikali kufuta mara moja
Tamko lake Kushoto ni Mhariri wa Gazeti hilo Bw, Jabir Idrissa.Picha na
Philemon Solomon
No comments:
Post a Comment