MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIZINDUA AWAMU YA TATU YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III), UWANJA WA JAMHURI, DODOMA, 15 AGOSTI, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya
Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua
awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilekea kukagua mabanda ya maonesho wakati wa
uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano),
Mhe Steven Wassira.



No comments:
Post a Comment