MKUU WA MKOA WA PWANI MWANTUMU MAHIZA APOKEA NA KUZINDUA MAGARI YA KISASA YA KUBEBEA WA GONJWA
Mkuu
wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza amezindua magari mawili ya kubebea
wagonjwa katika hospitali ya Tumbi mkoani pwani magari hayo yametolewa
na serikali ya korea kupitia Rotary intenational club ya tanzania magari
hayo yana thamani ya shilngi milioni mia mbili thelathini za kitanzania
kulia ni Jinyong Kim kutoka shirika la kimaendeleo la korea (koika)
aliye kushoto ni mwakilshi wa rotary club tanzania bwana Bill bali
nyuma yao ni mganga mkuuwa hosipitali ya tumbi Dr Petar datani na aliye
nyosha mkono ni mkurugenzi mkuu wa shirika la elimu kibaha Dr Cyprian
mpemba hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyikia katika hospitali ya
tumbi kibaha Picha na Chris mfinanga
No comments:
Post a Comment