Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Bw Salum Mwalim akiwaelezea wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoka kushoto Abbas Mtemvu
(Temeke),David Silinde (Mbozi Magharibi) na Mussa Azan (Ilala) faida za
kujiunga na huduma za mkataba za kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge
mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifurahia huduma
za Vodacom wakati kampuni hiyo ilipowahudumia wabunge katika viwanja
vya Bunge Mjini Dodoma wiki iliyopita. Wa tatu kushoto ni Meneja
Mahusiano ya Nje wa Vodacom Bw Salum Mwalim.
No comments:
Post a Comment