RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEMEJI YAKE MJINI LINDI LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika
swala maalum ya kuswalia mwili wa marehemu shemeji yake, Marehemu
Amani Kinyozi (45), aliyefariki Jumamosi iliyopita jijini Dar es
salaam, na kuzikwa katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi leo.
Rais
Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya shemeji yake,
Marehemu Amani Kinyozi, katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi
leo. PICHA NA IKULU


No comments:
Post a Comment