Mshindi waTanzania Driver of the Year 2011 kushiriki Mashindano ya Dunia
Erasmus Mtui akizungumza na waandishi wa habari.
Meneja
Uendeshaji wa Kampuni ya Scania nchini Tanzania, Mark Cameron(kushoto)
akimkabidhi bendera ya Taifa dereva, ErasmusMtui ambaye ni mshindi wa mwaka
2011 anayekwenda kwenye mashindano ya Kimataifa ya Bingwa wa Mabingwa
yanayotarajiwa kufanyika Afrika
Kusini.Makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofisi za Scania Dar es
Salaam
No comments:
Post a Comment