MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA ROTARY TANZANIA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Rotary Tanzania na Rais wa
Rotary Interantional 2012-13, Sakuji Tanaka, wakati walipofika Ofisini
kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam kwa mazungumzo jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji
Tanaka, baada ya kumaliza mazungumzo wakati Rais huyo alipofika Ofisini
kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam jana, akiwa na Ujumbe wake kwa
ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Rotary Tanzania, na Rais wa
Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya mazungumzo wakati
walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, jana.



No comments:
Post a Comment