kampuni ya Prime Time Promotions ltd yatoa rambi rambi ya mil moja kwa serikali ya zanzibar kufuatia ajali ya kuzama kwa meli ya mv skagik
Mratibu
wa Coconut Fm Ali Khatib Dai (kushoto) akimkabidhi rambirambi makamu
wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kiasi cha shilingi
milioni moja (1,000,000/-) ofisini kwake Vuga mapema leo
Meneja
wa Coconut Fm Husna Abdul akisalimiana na Makamu wa pili wa Raisi wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar
walipokwenda kukabidhi rambirambi kufuatia ajali ya meli ya MV Skagik.
Makamu
wa pili wa Raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa maelezo kwa
mratibu wa Coconut Fm Ali Khatib Dai kuhusiana na hali inayoendelea
kuhusiana na ajali ya kuzama kwa meli ya MV Skagik
Prime
Time Promotion kupitia kituo chake cha redio Coconut Fm kimekabidhi
rambirambi ya kiasi cha shilingi milioni moja (1,000,000/-) kwa makamu
wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kufuatia na kuguswa
kwake ajali ya kuzama kwa meli ya MV Skagik.
No comments:
Post a Comment