BREAKING NEWS !!!!!!!!!!!! WALIMU WAMESHAANZA MGOMO RASMI Leo asubuhi katika baadhi ya shule za msingi mbalimbali imekuwa ikionekana wanafunzi kuruhusiwa kurudi makwao kutokana na mgomo huo wa walimu. kwa habari zaidi endelea kufuatilia hapa hapa maisha kiasi blog!!
No comments:
Post a Comment