WATANZANIA TUNAPOPENDA KUFANYA MAMBO YETU SIKU ZA MWISHO NA HIVI NDIVYO HALI INAVYOKUWA
Wakazi
wa Tabata Segerea Chama wakiwa wamejitokeza Kwa Wingi kama walivyonaswa
na mpiga picha wa lukaza blog katika zoezi la kujiandikisha kwaajili ya
kupata vitambulisho vya taifa huku zoezi hilo likiwa linakaribia
mwishoni katika mkoa wa Dar Es Salaam lakini na bado wakazi wengi wa
Jiji la Dar hawajajiandikisha

No comments:
Post a Comment