WAZIRI WA SERIKALI ZA MITAA WA RWANDA MH JAMES MUSONI ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA JANA
Mkuu wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii kutoka Chuo Kikuu cha
Dodoma Profesa Casmir Rubagumya (kushoto) akimpa ufafanuzi Waziri wa
Serikali za Mitaa wa Rwanda Mhe.James Musoni wakati Waziri huyo
alipotembelea Chuo Kikuu cha Dodoma jana.Picha Na Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment