Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini,. Bw.
Marcel Escure, Ofisini kwake jijini Dar es salaam March 5, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini, Bw. Ali
Davutoglu, kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam
March 5, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini, Bw.
Marcel Escure kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es
salaam March 5, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Reviewed by
crispaseve
on
8:50 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment