Header Ads

UPCOMING ARTIST MUDRICK SAID  
a.K.a KEEM

Wengi hunifahamu kwa jina la KEEM,wimbo wangu huu unaitwa JINA LANGU,beat imetengenezwa na produza mmoja toka nairobi nchini kenya ambaye anaitwa KEIVOO,Sauti imewekwa ktk studio moja inaitwa KILLAZ MUSIC na mixing zikafanywa na produza anaitwa VILLY DAVI wa NO NAME RECORD
Nimemshirikisha CHIKU K toka ktk kundi la lafamilia,TANAH na CHIBWA toka MEXCANA LAKAVELA,natarajia kufanya video mwishoni mwa mwezi MARCH ila bado sijajua nitafanya na kampuni gani,bado nipo ktk harakati za kutafuta.
sikiliza wimbo huo hapa!!


Jina yangu -artist Keem ft. chibwa,Chiku K by crispaseve Pia nawaomba mafance na wale wadau wa muziki wanipe sapoti ili niweze kufanikisha malengo yangu;Aksanteni;
KEEM MUDRICK, HOTMAIL.COM, 
0712286363

No comments:

Powered by Blogger.