RADIO 5 YAJIANDAA NA HARAKATI ZA KUMKOMBOA MWANAMKE
Mchambuzi
wa Miradi ya Redio (RLDC) Teri Gilead kulia akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam na kufafanua Njia mbalimbali za kumsaidia
mwanamke wa Kitanzania katika kujipatia kipato kinachotokana na kilimo
na mifugo.Kulia ni Mkurugenzi wa Redio Five, Robert Francis Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Redio Five, Robert Francis akizungumza na waandishi wa habari
ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuhusu mchango unaotolewa na redio
hiyo kurusha kipindi cha Amka, kitakachomsaidia na kumkwamua wanawake wa
vijijini hususani kuhusu kilimo na ufugaji.
No comments:
Post a Comment