Washitakiwa,
Nahodha Hsu Chin Tai (kushoto) na Zhao Hin Guing waliokuwa wanakabiliwa
na mashitaka ya kufanya shughuli za uvuvi katika Ukanda wa Kiuchumi wa
Tanzania bila kuwa na kibali, wakiwa ndani ya Mahakama Kuu Kitengo cha
Biashara Kanda ya Dar es Salaam baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 20
au kulipa faini ya Sh bilioni 21. (Picha na Mohamed Mambo).
Reviewed by
crispaseve
on
2:24 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment