CONTACT US
CONTACT
Email Address:
crispaseve@gmail.com
If you have anything and you would like to share with us don’t hesitate to contact us through email address: crispaseve@gmail.com
If
you want to be among of the Dar top model, or you want to compete in
the upcoming Politician just forward your information together with your
snap to email address:
crispaseve@gmail.com
If you want to advertise with us just contact us through to email: crispaseve@gmail.com
If you want to meet with any of our super models just send your request to:
crispaseve@gmail.com
--Welcome Again--
2 comments:
nmemaliza kidat cha nne mwaka 2012
a matokeo yangucha ni C 2 D 5 je naweza soma kozi yoyote ya afya
Tangazo la kozi ya MHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII kwa mwaka wa masomo 2015/2016
Date Posted: 3rd August 2015 19:56:14 Posted By: NACTE
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inawatangazia watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hii watume maombi yao ili wajiunge na kozi hii kwa mwaka wa masomo 2015/2016
Sifa za Mwombaji
Awe na elimu ya sekondari kidato cha nne (O-Level) na ufaulu wa masomo manne (4) ikiwemo Biolojia kwa kiwango cha D au zaidi.
AU
Awe amemaliza kidato cha nne au cha sita (IV or VI); na awe amehudhuria kozi za muda mfupi zinazohusiana na afya ya jamii, mhudumu wa afya au Muhudumu ustawi wa jamii na awe amefanya kazi katika sehemu moja au zaidi katika maeneo hayo matatu kwa muda usiopungua miaka mitatu (3). Muombaji huyo atafikiriwa kwa kufuata miongozo inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kwa kuzingatia na kuthamini mchango wa elimu aliyopata muombaji kwenye kozi ya muda mfupi.
Viambatanisho
Cheti halali cha elimu ya sekondari
Cheti cha kuzaliwa
Barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti mtendaji wa Kijiji
Cheti cha kuhudhuria mafunzo tajwa hapo juu (CHWs, PSWs or MAs) kama umehudhuria.
Namna ya kutuma maombi
Maombi yote yatatumwa kwa kupitia mtandao wa Baraza la Elimu ya Ufundi (NACTE) Central Admission System (NOAS). Tovuti: www.cas.ac.tz.
Muhimu
Wale wote wanaopenda kutuma maombi yao na hawana mtandao wanashauriwa wafike katika chuo chochote cha afya kilicho karibu yao na Mkuu wa chuo au mwalimu wa taaluma au mwalimu yeyote atakayekuwepo atawasaidia kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao. 1. Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi: 18 Septemba 2015 2. Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 2 Novemba, 2015.
Imetolewa na:
Katibu Mtendaji
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
Post a Comment