Waziri Mbalawa awataka wafanyakazi wawajibike kwa uadilifu.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbalawa (Hayupo
Pichani) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Ally Daud MAELEZO.
No comments:
Post a Comment