BENKI YA POSTA YACHANGIA MILIONI 15 KUFANIKISHA MAONESHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Makamu
wa Pili wac Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea mfano wa
hundi ya shilingi miliono kumi na tano ikiwa mchango wa Benki ya Posta
Tanzania kwa ajili ya kufanikisha Maonesho hayo ya kuadhimisha Siku ya
Wanawake Duniani kutoka Mkurugenzi Mkuu wa TPB. Ndg. Sabasaba Moshingi.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia Wanawake
Wajasiriamali katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi ya
Zanzibar Michezani Kisonge, na kuyazindua rasmin maonesho hayo ikiwa ni
kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa kila mwaka 8, march.
Mwenyekiti
wa Zanzibar Informal Sector Foundation Bi Nuru Mohammed Ahmeid
akizungumza machache kuhusiana na maonesho hayo yalioandaliwa na Jumuiya
hiyo kwa Wajasiriamali Wanawake wa Zanzibar kuadhimisha Siku ya
Wanawake Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya
Mapinduzi Michezo Kisonge Zanzibar.na kuwashirikisha Wajasiriamali
kutoka sehemu mbalimbali Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Tanzania Informal Sector Foundation Ndg Masoud Maftah akitowa
maelezo kuhusiana na maonesho hayo ya Wajasiriamali wa Zanzibar Wanawake
katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. maonesho hayo
yamefunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar
Michezani Kisonge leo.
Wanawake
Wajasiriamali wakiwa katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya
Mapinduzi ya Zanzibar Michezani Kisonge wakimsikiliza Balozi Seif Ali
Iddi akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Maonesho hayo kuadhimisha Siku
ya Wanawake Duniani.

ya Wanawake Duniani
No comments:
Post a Comment