WAZIRI NAPE NNAUYE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MZISHI YA MWANAMUZIKI MKONGWE NCHINI, KASSIM SAID MAPILI
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiweka udogo
kwenye kaburi la Mwanamuziki mkongwe hapa nchini, Mzee Kassim Said
Mapili, wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu,
jijini Dar es Salaam leo.
Mwili
wa mwanamuziki mkongwe hapa nchini, Mzee Kassim Said Mapili ukiwasili
kwenye makabuli ya Kisutu, jijini Dar es Salaam leo.
Mwili
wa mwanamziki mkongwe hapa nchini, Kassim Said Mapili ukiwekwa katika
kabuli wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makabuli ya Kisutu,
jijini Dar es Salaam leo.
Waombolezaji waliofika kumsindikiza kwenye nyumba ya milele Mzee Kassim Said Mapili, wakipata mawaidha baada ya mazishi.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

No comments:
Post a Comment