MAMA JANETH MAGUFULI AAGA RASMI WALIMU WENZIE NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MBUYUNI, DAR ES SALAAM LEO.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni
alipowasili katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es
salaam kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa
shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe
aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla
hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongozana na mwalimu Mkuu wa shule ya
Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es
salaam kabla ya kuanza kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake
na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani
ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza
hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa
miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa ameketi kwenye meza yake katika
ofisi ya waalimu katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini
Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na
wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo
yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la
saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17
mfululizo.
Wanafunzi
wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam katika
sherehe hiyo fupi ya Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu
sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa
la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza maelezo ya utangulizi ya
mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela ,
Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu
sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa
la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
No comments:
Post a Comment